Idris Sultan Amtusi Diamond Platnumz
DAR ES SALAAM: Hii dharau! Siku chache
baada ya staa wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kudaiwa kushika ujauzito
ambao mhusika bado ni fumbo, balaa limezuka kufuatia Mshindi wa Big
Brother Africa Hotshots 2015, Idris Sultan kudaiwa kumtusi zilipendwa wa
mrembo huyo, Mbongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Risasi Jumamosi
linakujuza.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, Idris amekuwa akijitapa mitaani kuwa yeye ndiye kidume aliyeweza kumpa mimba Wema na kwamba ni daktari bingwa wa magonjwa sugu, yakiwemo ya uzazi kwani kwake kunapatikana tiba mbadala.

Majigambo hayo yanadaiwa kuharibu
urafiki uliokuwepo baina ya wawili hao, kwani Diamond anachukulia kama
ni kumtusi kwa vile aliwahi kujihusisha kimapenzi na Wema kwa muda mrefu
bila kupata ujauzito.
Diamond na Wema Sepetu, enzi zilee.
KAMA KUNA URAFIKI NI KIINI MACHO
“Kitu ambacho watu hawaelewi ni kwamba hivi sasa urafiki wa Diamond na Idris ni kiini macho tu, kwani majivuno ya Idris ya kutoka na Wema yameleta uhasama mkubwa, hasa baada ya kujigamba kuwa ameweza kumpa ujauzito.

“Inadaiwa juzikati Idris akiwa na Wema
sehemu, rafiki zake wakawa wanampongeza kwa taarifa zilizosambaa kuwa
yeye ndiyo amemdunga mimba mrembo huyo ambapo kijana huyo alisikika
akisema hakuna mwanamke asiyezaa duniani, isipokuwa kinachotokea ni
kuto-match (kuendana) kwa damu za wawili. Eti kwa kitendo hicho yeye
ndiye kidume cha mbegu,” kilisema chanzo hicho.
OMMY DIMPOZ NAYE ATAJWA
Ommy Dimpoz ambaye ni rafiki wa karibu wa Diamond, naye anatajwa kuwemo katika watu wanaompiga vijembe kwa kufurahia kitendo cha Idris kumjaza mimba Wema kwa kile kinachosemwa kuwa wawili hao wana ka-bifu ka chini kwa chini, kisa kikiwa siri yao.

“Ommy Dimpoz naye ni miongoni mwa watu
wanaosapoti kwa asilimia kubwa Idris kumpachika mimba Wema na kwamba
anaonesha wazi kuunga mkono kila kitu kinachofanywa na kijana huyo
katika kumuumiza Diamond kupitia mimba hiyo.”
DIAMOND ANASA UBUYU
Habari zinasema kuwa maneno yaliyokuwa yakitembea katika kundi la Idris yalimfikia staa huyo wa muziki wa kizazi kipya nchini, ambaye alisikitishwa na kitendo cha kuonekana kama hakuwa na uwezo wa kumpa mimba Wema, akitamka kuwa wanaomsema hivyo hawajui jinsi yeye na Wema walivyokuwa wakiishi kimapenzi.

IDRIS HUYU HAPA, MSIKIE
Baada ya kumegewa ubuyu huo, juzi paparazi wetu alimtafuta mshindi huyo wa BBA aliyejishindia dola 300,000 (zaidi ya shilingi milioni 500) na kubahatika kukutana naye ana kwa ana katika eneo moja, nje kidogo ya jiji.

Alipoulizwa kuhusu ukweli wa madai ya
kumtusi rafiki yake huyo, huku akichekacheka, Idris alishindwa kufunguka
moja kwa moja, badala yake akasema hategemei kuja kuwa na tatizo na
Diamond kwa sababu ya ujauzito wa Wema, hasa kwa kuwa tayari ana mtoto
(Tiffah) aliyempata kwa mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’.
“Diamond hawezi kuwa na mawazo hayo
kwani haoni tatizo lolote kwangu kuwa karibu na Wema, hata nikizaa naye,
kwa sababu uhusiano wao ulishamalizika.
“Hata hivyo hayo yatabaki kama madai.
Mimi kuitwa kidume itatokana na namna waitaji watakavyokuwa
wamenichukulia. Ila kiukweli sidhani kama kuna mtu anaweza kuja
kuninunia kisa Wema maana suala la uhusiano au kuwa karibu na mtu
inategemea tu na watu wenyewe jinsi wanavyoweza kuchukuliana na
kuwaziana.”
KUANIKA KUHUSU MIMBA YA WEMA
“Suala la mimba ya Wema nitakuja kuliweka vizuri baada ya mwezi mmoja. Kwa sasa niache kwanza maana nina mambo mengi ya kufanyia kazi, sitaki kabisa kuanza kuvuruga mudi za watu na ndiyo maana naona hakuna haja kwa muda huu kuongelea ishu hiyo ila yasemwayo yanaweza kuwa na maana kama yameelezewa vizuri,” alisema Idris.

DIAMOND NAYE HUYU HAPA
Gazeti hili lilifanikiwa pia kumnasa mkali wa kibao cha Utanipenda? Diamond ambaye baada ya kuelezwa kilichopo alisema kwa sasa hana muda wa kusikiliza maneno ya watu wala kujibu kila anachosikia, zaidi anahangaikia maisha yake ili kuweza kufikia ndoto alizojipangia kwa vile maneno yapo kila siku na hayaepukiki.

“Dah! Mimi sioni kama kuna kitu cha
ajabu wala kuzungumzia hapo, zaidi naweza kusema mimi sina muda tena wa
kuanza kuzungumzia mtu ila kila mmoja atabeba mzigo wake.
“Kwa sasa nawaza kukuza muziki wangu kwa
namna moja au nyingine, siwezi kuendelea kuwawazia watu wakati mwenyewe
nina mambo mengi ya kujiwazia,” alisema Diamond.
Photo:No More Photoshop. Vanessa Chettle Bears Her Butt Stretch Marks for All to See
We were used to seeing an air-brushed and photo-shopped Vanessa
Chettle but after her angry ex-girlfriend leaked her photos, we learnt
that she is not as perfect as she usually looks and it’s alright.
In fact most of us learnt that no matter who you are or how famous
you are, stretch marks are the enemy of almost every woman out there.
After people went in on her stretch marks, Vanessa decided that her
flaws really should not be the huge deal that everyone made them out to
be and that is when she decided to liberate herself from the cocoon of
perfection.
And she bared them for all to see:
Miss Washington USA resigns after allegedly stabbing footballer, Marco Pappa
Miss Washington USA 2015 Stormy Keffeler has resigned after she was found by police in a South Lake union apartment with USA Colarados midfielder Marco Pappa who was stabbed in the abdomen. He was rushed to the hospital and has since undergone surgery.
Police sources say Keffeler gave a totally different explanation from Pappa as to what happened. No arrests have been made so far but there are indications that she might have stabbed him.
Police sources say Keffeler gave a totally different explanation from Pappa as to what happened. No arrests have been made so far but there are indications that she might have stabbed him.
Maureen Francisco, co-executive producer of Northwest productions, who works with Miss Washington USA, posted the following on her Facebook page on Thursday:
''We can confirm the resignation of stormy Keffeler as Miss Washington USA. Effective immediately, first runner-up Kesley Schmidt will assume the title of Miss Washington USA 2016 and represent the state at the Miss USA event later this year. We wish Stormy well in her future endeavors''
Photos:Look at how this Kenyan born stripper is killing 'wazungu's' in the US
Kenyan born str!pp3r, Mercedes Moor, who currently resides in US, has left men inconfusion after unleashing her goodies in new hot photos that have left people talking.
Moor was once a student at Breaburn but according to stipulations she dropped out of school to become a stripper.
Here are her photos
Moor was once a student at Breaburn but according to stipulations she dropped out of school to become a stripper.
Here are her photos
Corazon planning to be the first female in kenya to do this...
Bootylicious socialite Corazon Kwamboka is one of the well endowed socialite's in the country. The sultry socialite has decided to reveal her dreams as she flaunts herprofessional qualifications. Corazon is a lawyer by profession since she studied law at the University of Nairobi and a friend of hers' confirmed to the social media fraternity that corazon scored an impressive 74%.
After the revelation on her score the petite socialite decided to reveal her future plans as she is planning to become the chief justice of Kenya one day. Here is what she took to social media.
"Beauty with brains! One day I will make Chief Justice" The curvy lady said.

Bootylicious Socialite, Vera Sidika Flaunts Her Expensive Hotel Room in Las Vegas (PHOTOs)
Bootylicious socialite, Vera Sidika, is on a vacation in the US and just
to prove that she is the true boss lady, she took to social media and
flaunted the expensive hotel where she is spending her nights.
Vera has booked one of the high end hotels in Las Vegas but this is catered for by her wealthy sponsors.
This is how Vera is rolling in Las Vegas.
Ugandan Singer Sheebah Karungi Looks Hotter Than Ever In A Leopard Print Bikini (Photos)
On
Sunday evening was a moment of optical nourishment after controversial
Ugandan singer, Sheebah Karungi, posted her semi-n#de photos on
Instagram.
In the photos, Sheebah, who first shot into the limelight when her n#de photos leaked, is seen flaunting her curvaceous body while dressed in an animal print bikini in the pool and while sunbathing.
Below are the photos.

Socialite Bridget Achieng Spends a lot of Money to Buy Concoction From Tanzanian ‘Doctor’ To Get Rid Of Her Potty And Achieve A Wasp-Like Waist
Beauty
at all cost! Apparently ladies with a super slim waists and flat
bellies are on high demand than their counterparts with rugged waists
and tuk tuk-like bellies.
C-
List socialite Bridget Achieng has proved she’s prepared to go to all
depths to achieve sparkling beauty that would make her standout.
We
all know she’s Team Light Skin, don’t we? But do you also know she used
to be darker than Uncle Fred Obachi Machokashe in complexion?
Well, Bridget has once again undergone a metamorphosis. The socialite has a super slim waist and a flat belly.
How
did she achieve this?? Reliable sources close to Bridget told Ghafla!
she has been doing 8 hour waist training and 250 seat-ups a day for the
last three months.
But
was the exercise enough to yield her the new shape?? Bridget topped up
her desire for a new figure with a special concoction from a Tanzanian
‘doctor’.
The socialite spent $500 or Kes 50,000 to buy the concoction; close contact confirms she didn’t go for surgeries.
Bridget before she got a new waist
Bridget with a new waist
Subscribe to:
Posts (Atom)